THE JETS

THE JETS
THE JETS

PAKUA HII

Ijumaa, 7 Julai 2017

MAZISHI YA SHAABAN DEDE KATIKA PICHA

MWANAMUZIKI mkongwe Shaaban Dede leo mchana amezikwa katika makaburi ya Kisutu akisindikizwa na kundi kubwa sana la wapenzi ndugu na marafiki. Uwingi wa waombolezaji wa mazishi ya Dede yanakumbusha sana mazishi ya Marijani Rajabu mwaka 1995. Katika makaburi haya ya Kisutu ndipo pia amezikwa, Shem Karenga, Kassim Mapili, Marijani Rajabu na leo nguzo nyingine ya muziki wa dansi Shaaban Dede amelazwa katika makaburi haya.Hakuna maoni: